Monday 3 April 2017

Neymar ajitengenezea rekodi Barcelona


Mchezaji wa timu ya taifa Brazil, Neymar Jr amekuwa ni Mbrazil watatu kufikisha magoli 100 akiwa na klabu ya Barcelona katika michuano yote lakini bado mchezaji huyo anaonekana anauwezo wakuja kuweka rekodi yake.
Image result for neymar
Evaristo ndiye alikuwa mchezaji kwanza kufikisha magoli 105, na wapili alikuwa Rivaldo aliye fikisha magoli 130.

Evaristo ambaye alifikisha magoli 105


No comments:

Post a Comment