Monday 20 February 2017

Vanessa Mdee na Ice Prince watumbuiza kwenye BBA Naija



Vanessa Mdee na rapper wa Nigeria, Ice Prince Zamani jana wametumbuiza kwenye show ya Big Brother Naija 2017.

Wawili hao wanafanya vizuri na wimbo wao No Mind Em. Baada ya show hiyo Ice aliweka picha hiyo juu na kuandika: 1 for TV !!! @vanessamdee Thank You sister #NoMindDem .”


No comments:

Post a Comment