Tuesday 28 March 2017

BREAKING: Maalim avuliwa ukatibu Mkuu CUF


Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya.

Taarifa ya hatua hiyo imetangazwa Mapema leo na Prof Ibrahim Lipumba

Habari zaidi itakujia hivi punde...


No comments:

Post a Comment