Friday 10 March 2017

Video: Kamanda Wema Sepetu azungumza haya kwenye mkutano wa Lema Arusha




Kamanda Wema Sepetu Ijumaa hii aliamsindikiza mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema katika mkutano wake wa hadhara na wananchi wa Arusha ambapo malkia hiyo wa filamu alipata fursa ya kuzungumza na wanachadema kwa mara kwanza akiwa kamanda mpya wa chama hicho.


No comments:

Post a Comment