Sunday 12 March 2017

Video: Maua Sama – Main Chick



Msanii wa Muziki wa Bongo fleva Maua Sama baada ya kufanya vizuri na ngoma ya ‘Sisikii’, ametuletea hii video mpya wimbo unaitwa ‘Main Chick’. Video imeongozwa na Khalfani tazama hapa chini alafu toa komenti yako.


No comments:

Post a Comment