Wednesday 15 March 2017

VIDEO: ‘Najua watatupinga lakini ukiona mtoto analia sana ujue viboko vimemuingia’ Diamond


Moja kati ya wasanii waliopata nafasi ya kuzungumza kwenye kuadhimisha mwaka mmoja wa RC Makonda  tangu ateuliwe na Rais John Pombe Magufuli ni Msanii kutoka Bongoflevani Diamond Platnumz
Kwanza nimpongeze Kaka yangu TID kwa uamuzi alioufanya na nataka niwaahidi kuwa ngoma yangu na TID itakayotoka hivi karibuni itakuwa ni moja kati ya nyimbo kubwa sana‘>>> Diamond Platnumz
Najua watatupinga sana lakini ukiona mtoto analia sana ujue kuwa viboko vimemuingia na ukiona watu wanapiga kelele sana ujue kuwa kampeni yetu imefanikiwa na kufanikiwa ndio dhumuni letu sisi’ Diamond Platnumz



No comments:

Post a Comment