Friday 10 March 2017

VIDEO: Nyingine kutoka WCB ya Diamond Platnumz.


Wasafi Classic Baby “WCB” ya Mwimbaji wa Bongo Fleva Diamond Platnumz wameileta Good News kwa kuzindua rasmi mtandao wa wasafi.com ambao utakuwa ni sehemu rasmi ya kujipatia nyimbo za wasanii wa Bongo na nje ya Bongo.
Kwenye mtandao huo kuna njia mbalimbali za kununua nyimbo kupitia account ya simu mfano M-PESA na mitandao yote ya simu Afrika pia kununua kwa njia Card za benki. Unaweza kubonyeza hapa chini kutazama Diamond mwenyewe akifafanua…


No comments:

Post a Comment