Sunday 12 March 2017

VIDEO: Show aliyofanya Alikiba Minneapolis Marekani

 
Msanii wa Bongofleva Alikiba bado anaendelea na tour yake sehemu tofauti tofauti Marekani, baada ya kufanya show Las Vegas Sky Beach Club, Alikiba amefanya show nyingine tena Minneapolis Marekani na kwa watu wangu wa nguvu ambao hamkupata nafasi ya kuona nimekusogezea sehemu ya show yenyewe.



No comments:

Post a Comment