Sunday 19 March 2017

VIDEO: Tundu Lissu alivyohutubia kwa mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa kuongoza TLS


Mwanasheria Tundu Lissu ameibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika ‘TLS’.
Katika uchaguzi huo uliofanyika katika ukumbi wa kimataofa wa mikutano wa Arusha ‘AICC’ Lissu alitangazwa mshindi kwa kupata kura 1,411 kati ya kura 1,682 zilizopigwa.




No comments:

Post a Comment