Friday 28 April 2017

sakata la wenye vyeti feki lavaliwa njuga na rais Magufuli na hamtaja mtu mzito hii leo Dodoma



Dodoma. Rais John Magufuli amekabidhiwa majina ya watumishi wenye vyeti feki na kutaja jina la kwanza la mtu aliyetajwa kwenye ripoti hiyo. 

 Alimtaja mtu huyo kuwa ni Abadallah Polea, ingawa hakueleza ni wa wapi na aliajiriwa katika sekta ipi ya umma. 

 Amekabidhiwa ripoti hiyo na Waziri wa Utumishi, Angela Kairuki mjini Dodoma leo.


No comments:

Post a Comment