Tuesday 4 April 2017

VIDEO: Matukio ya Ronaldinho ambayo hayawezi kusahaulika


Moja kati ya majina ambayo hayawezi kusahaulika katika soka kwa kizazi cha karne ya 21 ni jina la staa wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na club ya FC Barcelona ya HispaniaRonaldiho ‘Gaucho’ kutokana na uwezo wake mkubwa katika soka hususani wa kuchezea mpira anavyojisikia.
Ronaldinho ni moja kati ya wachezaji waliyowahi kushinda mataji yote aliyowahi kuwania ikiwemo tuzo binafsi za mchezaji bora wa dunia, kuna mengi ya kukumbukwa katika upande wa soka kuhusiana na Ronaldinho lakini naomba nikusogezee baadhi ya matukio ya staa huyo ambayo hayawezi kusahaulika.




No comments:

Post a Comment