Saturday 6 May 2017

HIZI HAPA PICHA ZAAJALI HIYO WAKIENDELEA NA ZOEZI LA UOKOAJI KATIKA AJALI YA WANAFUNZI ARUSHA





























WAKIENDELEA NA ZOEZI LA UOKOAJI

Image may contain: 1 person, child, mountain, sky, outdoor and nature


Image may contain: one or more people, tree, outdoor and nature





Image may contain: one or more people, outdoor and nature


Basi aina ya Toyota Coaster lililobeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Arusha limetumbukia bondeni Karatu. 
Zaidi ya watoto 20 na waalimu wanahofiwa kufa. 
Walikuwa wakienda tour kwenye hifadhi ya Ngorongoro. 
Ni ajali kubwa na mbaya kuwahi kutokea tangu ya miaka 7 iliyopita. 
Pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza watu wao katika ajali hii mbaya, Mungu azilaze roho za marehemu peponi




Image may contain: one or more people, plant, tree and outdoor



No comments:

Post a Comment