Tuesday 14 February 2017

Sergio Ramos atimiza ndoto yake hii akiwa Real Madrid

Mchezaji Sergio Ramos ambaye ni nahodha wa klabu ya Real Madrid ametimiza ndoto yake ya kufikisha mechi 500 akiwa na kikosi cha Real Madrid.

Ramos ambaye ana umri wa miaka 30, amefikisha mechi hizo baada ya Madrid kuitwanga Osasuna kwa mabao 3-1 katika mechi ya La Liga siku ya Jumamosi.
Beki huyo wa kati ambaye ni tegemeo la timu ya taifa ya Hispania na klabu yake ya Madrid.


No comments:

Post a Comment