Monday 13 February 2017

VIDEO: ZARI AONYESHA UWEZO WAKE WA KUKATA MAUNO KATIKA 40 YA MTOTO WAKE NA DIAMOND


Msanii wa muziki Diamond Platnum Juamosi hii amefanya sherehe ya arobaini ya mwanaye Nillan ambapo kwa mara ya kwanza, mtoto huyo ameoneshwa sura hadharani katika sherehe ya aina yake, iliyofanyika nyumbani kwao, Madale jijini Dar es Salaam

VIDEO: zari akivunja mauno hii hapa


No comments:

Post a Comment