Waandamanaji wapanda mgomba katikati ya barabara Nairobi
Wahudumu wa magari ya usafiri nchi Kenya, yanayofahamika kama matatu
wamefanya maandamano kulalamikia hali mbaya ya barabara kwenye mitaa ya
mji mkuu Nairobi.
Kituo kimoja cha redio kimetuma picha ya waandamanaji wakipanda mgomba
wa ndizi barabarani kwenye mtaa wa Kayole, kama njia ya kusema kuwa
barabara iyo inaweza kuwa bora kwa kilimo kuliko iwe barabara ya magari.
No comments:
Post a Comment