Tuesday 14 March 2017

HEKAHEKA: Mtu na dada yake waoana na kuzaa watoto wawili


March 14 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ameileta hekaheka kutoka Dar es Salaam ambayo inawahusu ndugu wawili; mtoto wa mama mkubwa na mtoto wa mama mdogo ambao wako katika mahusiano ya kimapenzi na tayari wamezaa watoto wawili huku dada mtu akiwa na ujauzito wa mtoto wa tatu.
Bonyeza play hapa chini kusikiliza full story.


No comments:

Post a Comment