Tuesday 14 March 2017

Essien amepata timu baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi sita


Mchezaji wa zamani vilabu vya Chelsea ya England na Real Madrid ya Hispania Michael Essien, baada muda mrefu kukosa timu leo March 14 2017 ametangazwa kujiunga rasmi na klabu ya Persib Bandung ya Indonesia, baada ya kuwa nje ya uwanja bila timu kwa miezi sita.
Michael Essien mwenye umri wa miaka 34, baada ya kuachana na klabu ya Panathinaikos ya Ugiriki mwaka 2016 na muda wote huo amekuwa akifanya mazoezi na kikosi cha akiba cha Chelsea kabla ya kujiunga na Persib Bandung.


No comments:

Post a Comment