Tuesday 14 March 2017

Alichokiandika Prof Jay kuhusu wasanii walioenda jimboni kupinga Ubunge wake

March 13 2017 kupitia ukurasa wa instagram, Mbunge wa Jimbo la Mikumi Pro. Jay amesema kuwa amewasamehe wasanii waliokwenda jimboni kwake kumpinga ubunge wake kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015.
>>>”Nilishawasamehe Wasanii wenzangu waliokuja jimboni kupinga Ubunge wangu, Mabasi na Mabasi Jiongezeni wanangu,Asante wana MIKUMI kwa kuwa na Imani kwangu🙏🙏🙏 #KIBABE (The ICON )” :-Prof Jay
Aidha Pro.Jay amewaomba mashabiki wake kukaa mkao wa kula kwani kesho Jumatano Tar 15 March 2017 ataachilia wimbo yake mpya utakao itwa “KIBABE“.



No comments:

Post a Comment