Friday 31 March 2017

New Music: WizKid ft. Drake – Come Closer

Msanii Wizkid kutoka Nigeria ameachia rasmi wimbo wake mpya unaitwa “Come Closer,” ambayo mara ya kwanza iliitwa jina la “Hush Up the Silence”, amemshirikisha Drake.
Come Closer mara ya kwanza ilivuja mtandaoni January ikiwa kama “Hush Up the Silence.” Wizkid ameamua kuachia version ya mwisho ya wimbo huo ambao utakuwa katika Album mpya ya Wizkid ya Sounds From the Other Side.


No comments:

Post a Comment