Friday 31 March 2017

Video: Lil Crama Ft. D Rhodes – Hard



Msanii kutoka pande za USA, ambaye ni Mtanzania mwenye makazi yake huko anakwenda kwa jina la Lil Crama Hustle, ameachia video yake mpya akiwa ameifanyia huko huko wimbo unaitwa “Hard”.
Huku akiwa anajiandaa kufanya Singo yake ya Pili na msanii Christian Bella.


No comments:

Post a Comment