Thursday 9 March 2017

VIDEO: “Kifo cha Kanumba kilifanya niamini ndio mwisho wangu”-Jennifer

Unamkumbuka Mtoto aliye igiza kama Jennifer kwenye Movie ya Anko JJ…? ambapo alipata umaarufu kupitia Movie ya “This is it” ya marehemu Kanumba na kuendelea kufanya vizuri haswa kwenye movie ya Anko JJ na baadae kuendelea na masomo kabla ya maerehemu Kanumba kufariki Dunia
Ameelezea baadhi ya changamoto alizokumbananazo baada ya kifo cha marehem KANUMBA…...>>>nilizipokea vibaya maana tulikuwa na malengo so nilivyopewa hizo taarifa za msiba nikajua kuigiza kwangu ndio kumeishia siku hiyo”;- Jennifer
Unaweza kubonyeza Play hapa chini kutazama Full interview ya Jennifer


No comments:

Post a Comment