Saturday 25 March 2017

VIDEO: Goli la Mbwana Samatta dakika ya tatu dhidi ya Botswana


March 25 2017 Taifa Stars wamekutana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwenye mechi ya kirafiki wa kimataifa dhidi ya Botswana, Mchezaji wa Genk ya Ubelgiji ameifungia Taifa Stars goli la kuongaza katika dakika tatu ya mchezo.


No comments:

Post a Comment