Thursday 9 March 2017

VIDEO:”Tuunganishwe kwenye ile kesi kama wadaiwa, tutainunua ile kesi”-Tundu Lissu

Wagombea Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Lawrance Masha wamekutana na waandishi wa habari leo March 9 2017 ili kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi wa rais wa chama cha wanasheria Tanganyika ambapo wameiomba Mahakama iwaunganishe kwenye kesi inayopinga uchaguzi wake. Unaweza kubonyeza play hapa chini




No comments:

Post a Comment