Sunday 5 March 2017

Wema Sepetu baada kufika nyumbani kwa Godbless Lema


Siku mbili baada ya Godbless Lema, Mbunge wa Arusha Mjini kuachiwa kwa dhamana, Leo Jumapili March 5, 2017 Muigizaji Wema Sepetu amemtembelea Mbunge huyo nyumbani kwake akiongozana na rafiki zake pamoja na mashabiki.



No comments:

Post a Comment