Tuesday 25 April 2017

Video: Alama 3 za Kagera Sugar zilivyomzamisha Haji Manara



Sakata la Kagera Sugar na Simba SC lililopelekea kung’oka kwa aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba SC, Haji Manara, ni baada ya wekundu hao wa Msimbazi kukubali kichapo cha goli 2-1. Utata ulizuka siku chache baadaye baada ya Simba kudai Kagera Sugar ilimchezesha mchezaji, Mohamed Fakhi anayesemekana kuwa alikuwa na kadi tatu za njano.



No comments:

Post a Comment