Thursday 20 April 2017

VIDEO: Kilichoendelea kwenye kipindi cha maswali na majibu Bungeni leo April 20, 2017


Bunge la Kumi na Moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea leo April 20, 2017 mjini Dodoma kipindi cha maswali na majibu katika Mkutano wa Saba, Kikao cha Kumi. Kwanza Bunge hilo lilianza kwa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu kabla ya kuendelea na maswali ya kawaida.
Nimekuwekea hapa full video, bonyeza play kutazama…



No comments:

Post a Comment