Sunday 2 April 2017

VIDEO;magoli yaliyo mliza simba na kumtoa kabisa kileleni mwa ligi



Baada ya watani zao wa jadi Yanga kucheza jana April 1 2017 katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Azam FC, leo April 2 Simba waliingia katika uwanja wa Kaitaba kucheza dhidi ya Kagera Sugar na kupoteza kwa goli 2-1.

ALL GOALS: Taifa Stars vs Botswana March 25 2017, Full Time 2-0


No comments:

Post a Comment