Friday 7 April 2017

VideoMPYA: Kutoka kwa WizKid hii hapa ‘Come Closer’ akimshirikisha Drake


Mwimbaji staa wa Nigeria WizKid ambaye ameshawahi kuja Bongo kutoa burudani kwenye uzinduzi wa FIESTA 2016 jijini Mwanza, amefanya kolabo na mkali mwingine kutokea Marekani Drake.
Wimbo unaitwa Come Closer ambao umeandaliwa na Director Daps.
Bonyeza play kutazama kisha niachie maoni yako kwa kucomment…



No comments:

Post a Comment