Wednesday 24 May 2017

BAADA YA NAPE JPM SASA AFANYA MAPINDUZI MAPYA AMTUMBUA WAZIRI WA NISHAT NA MADINI............


Image result for sospita muhongoRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk John Pombe Magufuli Hivi punde ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madin Mhe Sospita Muhongo,Ambapo Taarifa kutoka Ikulu Zinasema kuwa nafasi hiyo itajazwa baadae.


No comments:

Post a Comment