Tuesday 13 June 2017

RASMNI BOCCO ASAIN SIMBA NA KUKABIDHIWA JEZI YA MKONGWE SIMBA

Baada ya viongozi wa Simba jana kumtambulisha Shomari Kapombe leo Juni 13, 2017 klabu ya Simba imemtambulisha rasmi nahodha wa zamani wa Azam FC John Bocco ‘Adebayor’.
Bocco amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba kuanzia msimu ujao (2017/2018) akiwa kama mchezaji huru aliyeachwa na Azam FC.
Aishi Manula ni mchezaji mwingine wa Azam ambaye tayari amesha mwaga wino kuitumikia Simba kwa mkataba wa miaka miwili lakini yeye bado hajatambulishwa rasmi kuwa ni mchezaji wa Simba.


No comments:

Post a Comment