Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amesema hatishwi na vitendo vya
Rais Magufuli kuwashambulia wabunge wa vyama vya upinzani kwenye ziara
zake.
Mwita amesema kitendo cha Rais kumshambulia Mbunge wa CUF jimbo la
Lindi, kimewadhalilisha wabunge wote wa upinzani na kwamba hatamvumilia
iwapo atamdhalilisha jimboni kwake atapambana naye
No comments:
Post a Comment