Thursday 2 March 2017

Video: Muziki ya Darassa yatungiwa mtihani chuoni

hadhiri katika chuo cha ustawi wa jamii anayefundisha shahada ya masuala hayo, aliamua kutunga swali la aina yake kwa kuhusisha misemo maarufu kwenye wimbo wa Darassa, Acha Maneno, Weka Muziki. Sikiliza nimekusimulia hapo chini.



No comments:

Post a Comment