Thursday 27 April 2017

Upinzani Kenya umetangaza atakayeshindana na Rais Kenyatta kwenye Uchaguzi Mkuu


Muungano wa Vyama vya Upinzani nchi Kenya NASA umemtangaza mwanasiasa mkongwe nchini humo Raila Odinga kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa nchini kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika August 8 mwaka huu.

Aidha, NASA imemtangaza Kalonzo Musokya kuwa mgombea-mwenza

Muungano wa Upinzani Nchini Kenya NASA, umemtangaza Raila Odinga kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa August 8, 2017


No comments:

Post a Comment