Thursday 1 June 2017

'Jaza Ujazwe' hili tangazo lazua tafrani bungni hii leo!!!!!! mbunge adai Kuwa lipo Kinyume na Utamaduni wa Tanzania..!!!



Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku anayejulikana kwa jina la Msukuma, ametaka Tangazo la Tigo la Jaza Ujazwe lisitishwe kwa kuwa linaleta maana mbaya kwa kiswahili na tamaduni za kitanzania

Naibu Spika Tulia Ackson amesema TCRA ndio wanahusika na hilo na watachukua hatua stahiki kama itatakiwa

Amewataka pia wabunge kuwa makini kwa kuwa kuna matangazo mengine ni feki yenye lengo la kuharibu sifa za kampuni kwa sababu za kibiashara


No comments:

Post a Comment