Thursday 1 June 2017

Video:kauli ya TOMAS ULIMWENGU kuhusu kucheza yanga

Mshambuliaji wa AFC Eskilstuna ya Sweden na Taifa Stars amesema, Sweden kama sokoni kuelekea kucheza soka kwenye ligi kubwa kama yalivyo malengo yake.
Ulimwengu amesema majeraha ndio yalimrudisha nyuma na kumfanya asionekane uwanjani kwa muda, lakini kwa sasa yupo fiti na watanzania watasikia vitu vizuri kutoka kwake.
mchezaji huyo ambaye hajawahi kucheza ligi ya Tanzania amekanusha taarifa zilizowahi kumhusisha kutaka kujiunga na Yanga baada ya kuachana na TP Mazembe ya Congo DR.




No comments:

Post a Comment