Tuesday, 2 May 2017

TLS SASA YAONEKANA KUWA NA TAWI LA SIASA WADAU WALALAMA


With due respect, kila mtu mwenye akili timamu anajua pasi na shaka ya kwamba TLS ya sasa ni tawi la chama cha siasa mojawapo hapa TZ. TLS hii hii imeacha kushughulikia WELLFARE za wanachama wake ambao wanachangamoto nyingi, sasa imekuwa ni MDOMO wa chama cha siasa. This is unprecedented.

Ajenda zote zilizotolewa na chama cha siasa BUNGENI na zikashindikana: sasa TLS imezibeba kwa nguvu zote na kwa gharama ya hali ya juu na kuweka mikakati ya kuzidai kupitia MAHAKAMA. Ni copy and paste.

TLS ikumbuke ya kwamba Code of Ethics zao zinawataka wawe "impartial" muda wote(TLS Code of conduct and Ettiquette rules). Kwa msingi huo TLS imeiacha barabara kuu na kuingia kwenye mchepuko.

Such misconduct should not be left to prevail. Ni busara ya wakati kuwa TLS ifutwe kisheria na bunge, kwasababu TLS Act inapingana kabisa na nia,makusudio,matamanio, matendo na mikakati ya TLS sasa. I have very serious doubt on the unfolding strategies of the current TLS leadership.


No comments:

Post a Comment